.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Saturday, March 5, 2016

UZINDUZI WA BANGO NA TSHIRT MPYA ZA EGY BUSINESS SOLUTION

Kampuni ya EGY BUSINESS SOLUTION tukeendeleza falsafa yetu ya #FUKUZIANDOTOYAKO katika mwaka huu tumezindua bango letu jipya la na kuwa na semina ya ujasiriamali kwa watu wote.

Bango hili lililo katika ubora na kubeba picha halisi ya kampuni letu litakuwa likipatika maeneo ambayo kampuni letu lipo kufanya kazi

Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu karibuni sana T-shirt mpya za EGY BUSINESS SOLUTION ambazo zinaenda kwa ujumbe wa FUKUZIA NDOTO YAKO
                                                             Katikati ya jiji la Mbeya
                                 Imanuel Mwansasu na Joseph George  katika ya jiji la MBEYA
                      T-shirt za EGY BUSINESS SOLUTION za FUKUZIA NDOTO YAKO
                              Watu mbalimbali katika red carpet ya EGY BUSINESS SOLUTION


KARIBU SANA EGY BUSINESS SOLUTION TUPO MBEYA MJINI
Mawasiliano ; 0764761900 au 0718972260

0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085