EGY BUSINESS SOLUTION, ni kampuni ya kitanzania inayofanyia kazi jijini Mbeya, kampuni hii inasimamiwa na Mkurugenzi na mmliki ELLY BONKE, kwa kushirikiano mkuwa wa viongozi wa kampuni hii JOSEPH GEORGE na SHADRACK CHARLES . tukilenga kuhudumia jamii na kuwapatia huduma bora na bidhaa za uhakika
MOTTO: UNA NDOTO, UNA MALENGO, JISIKILIZEE
KAZI ZA EGY BUSINESS SOLUTION







0 comments:
Post a Comment