.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Tuesday, March 15, 2016

MBEYA YOUTH INITIATIVE ; kama ukuona safari yetu kuelekea Rungwe na Matema Beach hii hapa

MBEYA YOUTH INITIATIVE; hii ni taasisi ya vijana wa mkoa wa Mbeya ambao tunafanya shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwa na lengo la kumuinua kijana katika mtazamo chanya......tunahusika na
  1.   UTUOAJI HAMASA KATIKA MASUALA YA MAZINGIRA NA UJASIRIAMALI
  2.  UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI
  3. UANDAAJI WA SAFARI ZA MBALIMBALI ZA MAFUNZO
  4. UUZAJI WA BIDHAA WA BIDHAA MBALIMBALI
Hii ni safari yetu kuelekea mlima Rungwe na Matema kwa dhumuni la kutoa hamasa , furahia kujionea

Kituo chetu cha kwanza kuanza kupanda mlima Rungwe tukaanzia hapa eneo la ofisi za Moravian jimbo la Rungwe
Rebeca pamoja na Shose wanachama wa taasisi ya MBEYA YOUTH INITIATIVE
Michael akiwaelekeza jambo wanafunzi wa Chuo cha ufundi moravian Rungwe
                                                      picha ya pamoja na vijana
            Hapo wakati unapofika vijana wa MBEYA YOUTH INITIATIVE  ni waaminifu
                                                Rungwe High school tulipotembelea







KARIBU UWASILIANE NASI KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII NA KIBIASHARA KATIKA BLOG HII 0764761900

3 comments:

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085