.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Wednesday, March 23, 2016

FUKUZIA NDOTO YAKO TOUR, SAFARI YA KUTEMBELEA CHAI FM

EGY BUSINESS SOLUTION ni kampuni ambalo linapatikana katika jiji la Mbeya , ambalo linaongozwa na vijana pekee wenye kiu ya kufikia mafanikio wayatakayo
Tukiongozwa na shughuli kuu amabazo tunazifanya za UTOAJI WA HAMASA ZA MAISHA, UONGOZAJI WA SAFARI ZA KIMAFUNZO, UONGOZAJI MATUKIO, UANDAAJI WA MAKALA MBALIMBALI, USHAURI WA KIBIASHARA ,

Hivyo katika mwaka huu tuna kauli mbiu yetu kuu ya FUKUZIA NDOTO YAKO ikibebwa na jina la TOUR ambapo tutazunguka maeneo mbalimbali ya nchini na nje ya nchi kutoa hamasa mbalimbali za maisha
jionee safari ilivyo kuwa
   Mkurugenzi wa kampuni ELLY BONKE, na makamu wakurugenzi JOSEPH na SHADYKHAN


 JULIUS JAILO pamoja na SHADYKAN wakiwa na tshirt za EGY BUSINESS SOLUTION wilaya ya rungwe

                                       Maeneo ya msasani katika shamba la chai
Vaa nasi tshirt kutoka EGY #fukuziandotoyako



0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085