.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Wednesday, March 23, 2016

ZIARA YA MRATIBU WA MRADI WA WAJIBIKA TAIFA (YWCA-TANZANIA) KUTEMBELEA SHUGHULI ZA MRADI MBEYA

Mradi wa WAJIBIKA unafanyika katika tawi la Mbeya (YWCA-MBEYA) ambao unasimamiwa na YWCA-TANZANIA, umekuwa ukifanyika kwa miaka mitatu na kufanya shughuli mbalimbali za Vicoba ,Ujasiriamali, Mazingira, na masuala ya ufuatiliaji wa raslimali za umma.
Na mradi huu umekuwa ukifanyika kwa mkoa wa Mbeya tukifanya Shughuli za kijamii

                           Jesca akiwa katika Shule ya msingi Mapinduzi
                                  
           Duka la mwanamke mjasiriamali aliye chini ya Vicoba ya WAJIBIKA, aliyeanzisha biashara kupitia VICOBA
                                                   Tukinunua mahitaji yetu
kikundi cha wanawake wajasiriamali eneo la nzovwe,wanaoendesha VICOBA na Biashara ya BATIKI
               Jesca Ndana , akiongea na kikundi cha vijana wa MBEYA YOUTH INITIATIVE
                                   Katika Shule ya Nzondahaki tukitembelea Club ya Mazingira


0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085