.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Wednesday, October 21, 2015

MBEYA YOUTH EVENT 2015, SAFARI YA KIPEKEE YA VIJANA

GUNDUA JIFUNZE HAMASISHA hii ndiyo kauli mbiu kuu ambayo vijana tuliweza kupanda nayo mlima kwa mwaka huu wa 2015!! ambayo vijana tuliweza kuwa pamoja kwa siku mbili tiukijifunza na kuhamasishana namna ya kutumia fursa mbalimbali

safari ya mwaka huu ilianza mnamo saa 12 asubuhi tulipotembelea miti ambayo vijana tulihamasika kuipanda mwaka 2013 ambayo kwa sasa inatia moyo namna ilivyokuwa na vijana wengi kuona waliacha jambo la thamani sana duniani

MBEYA YOUTH :hii ni taasisi ambayo unaweza kuungana nasi ikiwa ni pamoja na kukuongozea matukio namna ambavyo unataka tukio liende huku ukiwa na furaha hiyo ni moja ya kazi tunayoifanya ukihitaji kutembelea eneo lolote bhasi tutakusaidia kukupeleka huko ukafurahie hii.

lakini pia taasisi yetu tumejenga viongozi wazuri katika masuala ya UHAMASISHAJI, na UFUNDISHAJI katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na mazingira, ujasiriamali


0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085