Tukio hili lilikuwa na uratibu wa kikundi cha MLIMANI YOUTH GROUP ambapo kwa sasa tukio hili linaitwa MBEYA YOUTH EVENT 2014, hivyo tunatoa wito kwa mtu au taasisi yoyote inayohitaji kufanya udhamini,ufadhili wa namna yoyote kusudi tuu harakati za vijana zisonge mbele na kujiandaa rasmi kwa MBEYA YOUTH EVENT 2015 ambapo itakuwa ya namna ya kitofauti kufanyika jiji Mbeya,
katika kufanikisha tukio hili tunapenda kushukuru WADHAMINI waliohusika kufanikisha tukio hili T-MOTIONS(warekodiji wa documentary nzima ya vijana) na WAJIBIKA PROJECT MBEYA(chini ya uratibu wa Deborah Njulumi)
Pia kwa taasisi zote ambazo ziliweza kushirikiana nasi kama YWCA MBEYA, MBEYA HOME TOURISM, YMCA MBEYA, EGY BUSINESS SOLUTION, FRESOWE, VIJANA MBEYA, MBEYA LIVING LAB,
kubwa zaidi shukurani zikuendee KIJANA ULIYE SHIRIKI TUKIO HILI, AMINI NI TUKIO NI LAKO NA UJIVUNIE KUFANYA NA KUTOA MAONI JUU YA TUKIO LIJALO LA MBEYA YOUTH EVENT 2015, NAKUAKIKISHIA LITAKUWA BORA SANAAA
MBEYA YOUTH EVENT " NI YAKO JIVUNIE!!!! UTHUBUTU UNAANZIA NYUMBANI"
WASILIANA NA MRATIBU WA MBEYA YOUTH EVENT
mbeyayouthevent2014@gmail.com ELLY L. BONKE -0764761900
Daah shangwe zikaanza vijana kwa pamoja
Hawa vijana kutoka mlimani youth group(team mavuvuzela) JOSEPH,EMMANUEL,SHADRACK
Pasua kwanza pulizo ndiyo unakula tikiti mshindi mmoja, hahah lazima ufinye
Ezekiah kutoka T-MOTIONS akiongoza shangwe na Miraji kutoka Fresowe
Maisha ni uthubutu ila sio kutafuta maisha kwa njia haramu, igizo la kijana muuza madawa ya kulevya
ELLY BONKE, JOSEPH,EMANUEL, SHADRACK
Eliud Samweli: bongee la mchekeshaji, na mshindi wa shindano la sijawahi ona
Mshindi wa shindano la kula kwa wavulana akiwa na JULIUS JAILO, ELLY
Hakika binti ni jeshi , msemo wa Eliud, akiwa na mama mwenyekiti YWCA MBEYA (oliva kibona)
Amos : kutoka mbeya home tourism akitufundisha kucheza
Ni kujifunza kucheza pamoja tuuu
Brown: unatupeleka kwenye kuigiza saizi kucheza kaka
kwa pamoja tukinywa juisi ambazo zilitolewa na WAJIBIKA PROJECT MBEYA
Public speaker & Motivation speaker, akiwa kazini sasa (ELLY L. BONKE)
cheza cheza bila kukunja goti, hahahahahaha ilikuwa siyo ya kukosa kiuweli
mwendo ni ule ule umepanda na MBEYA YOUTH EVENT lazima utashiriki tuu hili ni tukio lenu
mdogo mdogo vijana utafika tuu
UTHUBUTU UNAANZIA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment