Kwa mwaka huu tena zamu yako kushiriki katika tukio hili ambalo litakuwa la siku mbili , ambapo kwa MCHANGO WA ELFU KUMI NA TANO TUU( 15000) itakuwezesha kupata tshirt ambayo kwa mwaka huu mshiriki lazima awe na tshirt na kulala katika hostel za ROMAN CATHOLIC ( YOUTH CENTER ) na kuwa na vitu tutakavyo exchange kama vijana kumbuka ni nafasi yako kijana uliyepo mahali popote kujumuika nasi katika tukio hili
Mwaka huu ni GUNDUA, JIFUNZE , HAMASISHA jiandikishe mapema kushiriki tukio hili karibu sana
mawasiliano : O764761900 AU 0713579939 utapatiwa maelekezo
Safari ndipo ilipoanza eneo la RETCO katikati ya jiji la mbeya
njiani vijana wa jiji la mbeya wakiicha rami
kwa pamoja vijana wakigawana matunda na kila mtu alipata
mwanzoni tuu mlima kila mshiriki ana hali ya kufika mwisho
wanasema unavyopanda mlima uchangamfu ni lazima wakina kaka wakitafakari jambo
mkurugenzi wa T-MOTIONS (ROBERT ELIAH) kwa nyuma na dada BUPE MLABWA
Team ya vijana kutoka MBEYA HOME OF TOURISM
Iliruhusiwa kuimba nyimbo ili mradi tuuu ufike mwisho
rahaaaaaaaaaaaa
hawa nao mlima na mapozi kibao ya picha
Team MAVUVUZELA kutoka MLIMANI YOUTH GROUP, hawatasaulika hawa
sehemu ya kwanza inaishia hapa msalabani ,jiandae kujifunza mengi kutoka kwa vijana wa jiji la mbeya
NB:
KWA TAASISI, MTU YEYOTE UNAEWEZA KUTUSAIDIA KWA AINA YOYOTE KUTOA MAONI, USHAURI, UDHAMINI, ILI KUENDELEZA TUKIO HILI KWANI TUNAHITAJI KULIWEKA KATIKA JARIDA, DVD,VIPEPERUSHI, NA NAMNA MBALIMBALI TUNAKUHITAJI , ILI LIWE BORA ZAIDI
Mawasiliano:email; MBEYAYOUTHEVENT2014@GMAIL.COM simu:ELLY BONKE 0764761900
Hitasahaurika hii siku
ReplyDeleteyees pamoja tumeweza kufanikisha tukio hili,TUMETHUBUTU
ReplyDeleteNimependa sana team spirit ya kila mshiriki,event hii ilikuwa best.Asante sana Elly,asante EGY,Asante kizazi kipya cha vijana,HONGERA WASHIRIKI WOTE.Nitatetea kizazi kipya cha vijana.Uthubutu unaanzia nyumbani.TUMETHUBUTU TUMEWEZA.
ReplyDeleteyeeees brother nazani tutakuwa pamoja sana ahsante kwakuwa mshauri wetu sana
Deleteawesome, this is what i need to see every young people do/participate
ReplyDelete