.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Saturday, September 27, 2014

DARE TO DREAM na SAMAFO, WALETA FURSA YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE JIJI LA MBEYA

DARE TO DREAM taasisi inayoongozwa na mwanamke mjasiriamali duniani EMELDA MWAMANGA kwa kushilikiana na asasi ya SAMAFO ya jijini mbeya wameandaa semina ya ujasiriamali kwa wanawake wa jiji la mbeya ambapo ambapo wanajifunza mbinu mbalimbali za kama vile namna ya kupata masoko, namna ya kutumia fursa mbalimbali ambazo wanawake wa jiji la mbeya wananufaika na mafunzo haya

mafunzo haya yanafanyika katika ukumbi FOREST HILL HOTEL,  uliyo karibu na kituo cha mafuta cha JM karibu na stend ya kadeghe,

                      Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na katibu tawala wilaya mbeya

  mjasiriamali EMELDA MWAMANGA na mmiliki wa BANG MAGAZINE akisisitiza jambo
     WINNIE NGUNI akifundisha somo la ujasiriamali kwa washiriki wanawake wa jiji la mbeya, yeye ni lectuer wa chuo kikuu dar es salaam,
               Mama Tabitha bugali, akiwa na katibu tawala wilaya mbeya na Emelda mwamanga




0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085