WAJIBIKA PROJECT ni mradi unaosimamiwa na YWCA TANZANIA kwa ufadhili wa YGLOBAL KFUK KFUM ya NORWAY ,ambapo katika mkoa wa Mbeya unasimamiwa na taasisi ya YOUNG WOMENS CHRISTIAN ASSOCIATION MBEYA kwa kifupi ikitambulika kama YWCA MBEYA kwa usimamizi wa program officer wa mradi huu DEBORAH NJULUMI
Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira imefunguliwa Club ya mazingira katika shule ya msingi mapinduzi jijini Mbeya, ambapo hatua ya kwanza ilikuwa wanaclub kupatiwa mafunzo na sasa wamekabidhiwa vifaa mbalimbali watakavyo tumia katika utunzaji wa mazingira
Baadhi ya matukio ya picha katika makabidhiano ya vifaa
Wanaclub wakiwa wameshika ujumbe mbalimbali
Project officer na Katibu wa club ya mazingira mapinduzi
Wakielezea mahitaji wanayohitaji na changamoto wanazozipata
Katibu akipokea vifaa kwa program officer wa mradi DEBORA NJULUMI
LINDA MAZINGIRA, OKOA DUNIA
SAIDIA KUYATUNZA MAZINGIRA
wakishangilia kwa ajili ya vifaa walivyopatiwa na WAJIBIKA PROJECT MBEYA
DEBORAH NJULUMI:akipaka oil katika kibao
kazi imefanyika kiukweli ujumbe umefika
sasa kilichobakia ni utendaji wa kazi katika CLUB hii nakuwa mfano wa shule zingine, ahsanteni uongozi mzima wa shule ya mapinduzi pamoja na YWCA MBEYA, NA YWCA TANZANIA
MUNA TOYS & STATIONERY

Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment