Katika nchi yetu pia ya Tanzania vijana waliweza kuadhimisha tukio hili la siku ya vijana dunia,
Vijana wa mkoa wa Mbeya wakiunganishwa na taasisi za MBEYA YOUTH INITIATIVE, MBEYA LIVING LAB na YWCA MBEYA waliunganika pamoja na kuhusianisha vijana kutoka makundi tofauti tofauti katika tukio hili la kipekee duniani
Katika siku hii waliweza kutembelea chuo cha GREENHILL INSTITUTES kwa dhumuni la kutoa hamasa mbalimbali za kimaendeleo kwa vijana na baaadaye kuelekea katika kambi la pamoja kwa vijana huko mada mbalimbali zilizungumzwa
KARIBU UJIONEE MATUKIO
Sara ya kumshukuru MUNGU kuwezesha kuwa pamoja
LILIAN MWANJELA akitoa jambo kwa vijana namna ya kusimamia ndoto zao
DEBORA ADAM akitoa msisitizo namna ya kujiunga na makundi ya vijana
ELLY BONKE akizungumza ni maana ya siku ya vijana duniani na kwanini vijana wanatakiwa kuanza
VICK JOHN akizungumza na vijana wa chuo cha GREENHILL
0 comments:
Post a Comment