Tunafanya masuala ya ujasiriamali ikiwa ni pamoja na uuzaji wa hizi t-shirt,na shughuli za kiuchumi pia kazi za kijamii na kufanya safari mbalimali
unaweza kujionea matukio mbalimbali ya kutembelea hospitali ya rufaa pamoja na ziara ya kutembelea Tukuyu pamoja na Matema Beach wilayani kyela
karibu ufanye nao kazi kwa simu 0764761900 au 0718972260
MBEYA YOUTH INITIATIVE
BAADHI YA WANACHAMA WA MBEYA YOUTH INITIATIVE
WAKINA DADA NDANI YA MBEYA YOUTH
Debora Adam
SARA, JANETH, NEEMA, SANGUMBI, NA KATE
0 comments:
Post a Comment