Shirika la YOUNG WOMEN CHRISTIAN ASSOCIATION la jiji mbeya kwa kifupi YWCA MBEYA ,limekuwa likifanya shughuli za ufanyaji wa shughuli za kimazingira kwa kufungua Club ya mazingira katika shule za NZONDAHAKI, MAPINDUZI, JITEGEMEE, na NZOVWE za jijini Mbeya
Kwa sasa imefunguliwa Club ya mazingira katika shule ya msingi ya Azimio ,ambapo wanafunzi wa shule hizi watafundishwa shughuli mbalimbali za kuyatunza mazingira, na kufanya uhamasishaji wa katika jamii
Kiongozi wa mradi huu na msimami wa mradii huu wa YWCA WAJIBIKA PROJECT MBEYA dada Debora Njulumi ndiye aliye weza kukabidhi vifaa katika shule hii
0 comments:
Post a Comment