Ziara ya vijana wa YOUNG PEACE PEFORMERS
kutoka nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Srilanka, Palestina, Norway, na Kenya
umeweza kuwasili katika jiji la mbeya kupitia usimamizi wa YWCA MBEYA ambao umekuja kwa lengo la kuendeleza
kampeni yao kuu ya STOP POVERTY huku ukilenga kukutana na makundi mbalimbali ya
vijana kwa ajili ya kujifunza kutoka kwao na pia vijana wa hao kujifunza kwa
watanzania
Safari yetu ikaanzia katika ofisi za UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES ambapo wageni
wetu wakaweza kukutana na chifu mkuu wa kabila la wasafwa Mwanshinga pamoja na
machifu wengine,
KUELEKEA DARAJA LA MUNGU
Mara baada ya kumaliza kushuhudia ngoma ya
kisafwa,Tukaanza Ziara yetu kutembelea kivutio cha asili cha Daraja la
mungu ambapo safari hii ilisimamiwa na Uyole Cultural Tourism Enterprises
kwa usimamizi wa kiongozi wa safari AMOC ASAJILE, ambao wanapatikana eneo
la uyole,
unaweza kuwasiliana nao zaidi kwa ajili ya
kushuhudia vivutio zaidi EMAIL;
Uyolecte@gmail.com
Bila
kusahau TEAM TANZANIA ilikuwepo( IMANUEL MWANSASU, JULIUS JAILO, JOSEPH GEORGE,
DEBORA NJULUMI, ERIC) katika ziara hii tukiongozwa na blog yako ya
www.jisikilizee.blogspot.com na mpiga picha ELLY BONKE karibu ushuhudie
Tukiondoka eneo walilofikia wageni wa YPP
Tulipotembelea supermarket eneo la mwanjelwa

Tukiwasili katika ofisi za Uyole Cultural Tourism Enterprises
Vijana wakicheza ngoma ya asili ya wasafwa
Tukipewa maelekezo kuhusiana na kaburi walilozikwa watu wengi njia ya kwenda Tukuyu, kutokana na ajali ya moto iliyotokana kuanguka kwa roli la mafuta
Daraja kuleeee safari inaendelea
Ndani ya daraja la mungu tayari
Chini ya daraja la mungu
Naona vijana wa YWCA na UYOLE CULTURAL TOURISM wakifurahia jambo
tukiondoka daraja la mungu
Neema akielezea vyakula vya asili vilivyopo
Debora Njulumi project officer wa WAJIBIKA MBEYA akishiriki chakula cha asili cha watu wa mkoa wa mbeya kilichoandaliwa na UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISES
PICHA NA MATUKIO: ELLY BONKE
KARIBUNI SANA NA ENDELEA KUTEMBELEA www.jisikilizee.blogspot.com
Tunashukuru sana YWCA na YPP kwa kuweza kutembelea vivutio vya kitalii mkoani mbeya, Karibuni tena Tanzania YPP.
ReplyDelete