.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Saturday, January 3, 2015

HUU NDIYO USIKU WA HAMASA 2015, UNA NDOTO, UNA MALENGO, UNAMAONO, 2015 JISIKILIZEE

USIKU WA HAMASA katika mkoa wa MBEYA, uliofanyika siku ya tarehe 1.1.2015 , ulio kuwa na Lengo la kuamsha na kuamasisha vijana katika uthubutu, na kiu ya kujifunza bila kukoma na hatimaye kwa mwaka 2015 ,kuwa mwaka wa mabadiliko sanaaa

UNA NDOTO, UNA MAONO, UNA MALENGO 2015 JISIKILIZEE
ukiamua kubadilika katika maisha uyatakayo, amua kujifunza hatimaye dunia itaguswa na uwepo wako na mchango wako utatambulika sana,

MWAKA 2015 JARIBU KUWA CHANZO CHA MABADILIKO

                           WASHIRIKI TUKIWA TUMEWASHA MISHUMAA
         Team kutoka MBEYA LIVING LAB wakisikiliza kwa makini mafunzo yakiendelea
             Kelvin Mpika  meneja masoko wa HIGHLANDS FM alikuwepo ukumbini
      NANG JET kutoka ROCK FM pamoja na ELIUD SAMWEL walikuwa watu mihimu kwa usiku huuu
                     VERRAN akisikiliza matukio yanayoendelea usiku wa hamasa
                                     PK5 pamoja na PRINCE kutoka sweet fm
  EDOM kutoka Redio USHINDI FM alisisitiza vitu mbalimbali kwa vijana katika uwekaji malengo





         TUKIO HILI LILIANDALIWA NA EGY BUSINESS SOLUTION pamoja na T-MOTIONS FILIMS kwa kudhamini na MBEYA HIGHLANDS FM, ROCK FM, SWEET FM, USHINDI FM, TEAM DREAM CHASER TZ, TUMANYENE SOCIAL HALL
Tunawashukuruni sana wotekwa kutuunga mkonokatika tukio zima tunawashukuru kwa changamoto nyingi tumeziona , TUNAAHIDI KUZIFANYIA KAZI KABISA, MTUSAMEHE SANA  KWA TULIPOKOSEA NDUGU ZETU, USHAURI TUNAHITAJI KUPITIA
                                   0764761900 , 0752579939
Email           ELLYBONKE7@GMAIL.COM
TUKUTANE KWENYE TUKIO KAMA HILI MWAKANI 1 JANUARY 2016


2 comments:

  1. safi sana mungu atatusaidia tutafika tu

    ReplyDelete
  2. AHSANTE SANA KAKA, TUNATEGEMEA USHAURI WAKO KUZIDISHA UBORA ZAIDI, INGAWA TUTAKUWA NA MATUKIO MENGI MENGI HAPA KATIKATI, THANKS FOR SUPPORT YAKO KIONGOZI

    ReplyDelete

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085