.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Sunday, July 19, 2015

T-MOTIONS,MLIMANI YOUTH GROUP na MBEYA YOUTH -JIONEE BONANZA LILIVYOKUWA

 Mlimani Youth Group au kwa jina mahalufu (MYG) kwa kuungana na taasisi ya T-motions waliweza kuandaa bonanza la michezo mbalimbali ambalo lilikuwa na lengo la kuhamasisha jamii kuona umuhimu wa kuthamini vipaji walivyo navyo

KIPAJI CHAKO NDIYO AJIRA YAKO
Vijana kutoka taasisi hizi waliamini katika falsafa hii ya kama mtu ukiamini kipaji chako na kukipa thamani yake inayo takiwa huo ndiyo utajiri wako

T-MOTIONS
T-motions hii ni kampuni ambayo inasimamiwa na ROBERT ELIA na MUSA CHAPAKAZI  kwa jina utakalolipata kwa haraka ni TUMANYENE ambapo katika kupata huduma zao ni pamoja na ukumbi wa kisasaa unao kwenda kwa jina la TUMANYENE, pia studio ,na unaweza kupata huduma ya mziki kwenye sherehe mbalimbali pamoja na wasanii wa MAIGIZO

MLIMANI YOUTH GROUP
kikundi cha vijana wajasiriamali ambao wanajihusisha katika shughuli mbalimbali na kuendesha kampeni mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na mazingira, na kufundisha ujasiriamali mbalimbali ambapo uongozi wa kikundi unasimamiwa na JOSEPH GEORGE na JULIUS JAILO na viongozi wengine wengi ambao wanashiriki kufanya kikundi kibakie mpaka leo hii

MBEYA YOUTH EVENT
hii ni taasisi ambayo inaandaa matukio hapa jiji Mbeya ukihitaji ziara yoyote basi kutana na hawa watu,utapelekwa sehemu uitakayo na utafanikiwa .Karibu ushiriki katika matukio ya Mbeya youth utaifurahia Mbeya


                                                 Mlimani youth group wakijiandaa kuingia uwanjani
                                                                  Mlimani team
                                Burudani kwa mbali ikisikika huku michezo ikiwa inaendelea
                                                            Taratibu vijana wakisogea
                           Kijana Chevya akitoa burudani na pia alikuwa MC wa tukio hilii
                            Vijana wakipewa nafasi wanaweza kufika mbali kwa juhudi waliyo nayo
                                           Julius ,Mussa na Bonke ndani ya BONANZA



UNATAKA KUFANYA TUKIO UNAHITAJI MSAADA WASILIANA NASI 0764761900 WAANDAAJI WA MATUKIO HAPA JIJINI MBEYA NA NJE YA MBEYA

0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085