Siku ya jana tulikuwa na ziara ya kutembelea vijiji vya kawetele eneo ndiyo kuna muinuko wa juu kuliko yote Tanzania ambapo tulikuwa na ufundishaji wa VICOBA , UJASIRIAMALI, UFUATILIAJI WA RASLIMALI ZA UMMA, ambapo DEBORAH NJULUMI afisa mradi alitoa elimu ya namna ya uwekaji fedha na ufuatiliaji wa raslimali za umma, na ELLY BONKE alifundisha suala la Ujasiriamali na namna ya kufikia malengo
Tazama hali ilivyo kuwa na uzuri wa mkoa wa Mbeya
WAJIBIKA PROJECT MBEYA ni mradi unaosimamiwa na asasi ya YWCA MBEYA chini ya usimamizi wa YWCA TANZANIA ambao ni mahususi kwa vijana
ELLY BONKE & DEBORAH NJULUMI WAKIFUNDISHA
WAJIBIKA imewagusa na kuwafikia wengi sana
Baridii kwa mbaliii huku juuu
0 comments:
Post a Comment