Ihombe ni kijiji kilichopo katika kata ya Utengule Usongwe katika halmashauri ya Mbeya vijiji , ambapo kupitia WAJIBIKA MBEYA tulienda kukutana na vikundi pamoja na wanakijiji waishio maeneo hayo kwa lengo la kuwafundisha namna ya utengenezaji wa vitu mbalimbali na njia mbalimbali za uanzishaji wa biashara katika maeneo yao
WAJIBIKA PROJECT MBEYA huu ni mradi unaotekelezwa na YWCA TANZANIA chini ya ufadhili kutoka Y-GLOBAL KFUK-KFUM NORWAY na katika mkoa wa mbeya inatekelezwa na YWCA MBEYA
lengo la mradi huu ni kutoa fursa kwa vikundi vya vijana mbalimbali na wanawake wajasiriamli kuweza kuanzisha miradi yao,
Itazame safari ya kuelekea kutembelea vikundi vya wajasiriamali katika vijiji vya IHOMBE
Safari ya kueleke kijijini ilianza hivi
Wanakikundi wakitengeneza kikoi katika kijiji cha ihombe ambapo tulikutana na vikundi tofauti
MUNA TOYS & STATIONERY

Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment