YWCA WAJIBIKA PROJECT MBEYA, hii ni harakati za vijana katika kuleta maendeleo katika maeneo ya KIUCHMI, ambapo katika siku ya jana imefanikiwa kupanda na kugawa miti katika shule NNE katika mkoa wa Mbeya ambazo zote hizi zinamilikiwa na serikali ambazo kati ya hizi tatu ni za msingi na moja ni ya sekondari ambapo miti hiyo imeweza kugawiwa
1. SHULE YA MSINGI NZOVWE
2. SHULE YA MSINGI JITEGEMEE
3.SHULE YA MSINGI MAPINDUZI
4.SHULE YA SEKONDARI NZONDAHAKI
Mradii huu unatekelezwa zwa na YWCA MBEYA chini ya usimamizi wa YWCA TANZANIA, kwa ufadhili wa KFUK- KFUM ya NORWAY, ambao uatekelezwa hapa Mbeya,
DEBORA NJULUMI: anawashukuru kwa wakazi wajiji la Mbeya ambao kwa ujumla wamekuwa wakisaidia kuyasogeza mbele maendeleo ya jiji, hususani katika masuala ya mazingira
Mwalimu wa mazingira shule ya msingi JITEGEMEE, akikabidhiwa miti
hapa ni katika shule ya msingi NZOVWE
Katika shule ya NZONDAHAKI
DEBORA NJULUMI akiwa katika upandaji miti katika shule ya sekondari ya NZONDAHAKI
Mwenyekiti wa CLUB ya mazingira akipanda mti
mwalimu na msimamizi wa mazingira shuleni hapo
MUNA TOYS & STATIONERY

Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment