EGY BUSINESS
SOLUTION: ni kampuni lililo katika usajili wa
makampuni TANZANIA, Katika shirika la
usajili wa makampuni BRELA, katika mwaka wake mmoja toka kuanzishwa tumeweza kufanya shughuli mbalimbali
zinazohusu jamii na za kibiashara tukilenga kuikwamua jamii na kutoa mchango
yetu katika jamii ya kitanzania hata nje ya nchi ambazo nyingi ni kuleta mtazamo chanya kwa binadamu
Katika ndani
ya mwaka mmoja tumeweza kushirikiana na watu mbalimbali ambao sio rahisi
kuwataja wote majina yao, na pia mashirika mbalimbali ikiwa ni pamoja na PEPSI,
YWCA MBEYA, HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA
KAZI NA SHUGHULI UNAZOWEZA
KUFANYA NA EGY BUSINESS SOLUTION
1.
Tunaendesha
na kusimamia matukio (event) mbalimbali ya kibiashara na kijamii
2.
Tunafundisha
na kufanya uhamasishaji kuhususiana na
ujasiriamali
3.
Tunakodisha
na kuzimisha viti vya plastic katika matukio mbalimbali
4.
Tunatengeneza
na kuandika mpango mkakati(planning) and
business plan
5.
Tunafanya
kazi ya upigaji picha (photographer) na kutengeneza kwa mifumo mbalimbali
6.
Mc’s
katika matukio mbalimbali kama semina, harusi, graduation,kipaimara,
7.
Kuendesha
blog na kutangaza biashara mbalimbali
Hizi ni
shughuli ambazo kwa mwaka mmoja tumeweza kuzifanya na kwa mafanikio, ingawa
tunawaakikishia kuwa ndani ya mwaka ujao tutaendesha na kufanya vitu mbalimbali
katika jamii na tunakaribisha yeyote anayetaka kufanya kazi na sisi MAWASILIANO YETU SIMU NO :0764761900,0765988268 EMAIL:egybusinesssolution@gmail.com
MATUKIO KATIKA PICHA JIONEE
VIJANA WATATU WANAOIMILIKI HII KAMPUNI YA KITANZANIA
Juu ya MLIMA LOLEZA tulipoongoza vijana wajiji la mbeya, na kuzindua project yetu ya "burn the boat"
Tulipo simami graduation ya form six shule ya sekondari iyunga(mbeya)kampeni yetu ya upandaji miti tulioshirikiana na halmashauri ya jiji la mbeya
ziara tulioandaa ya kutembelea wagonjwa hospitali ya rufaa mbeya
Victor kabuje(afisa maendeleo wa jiji) na diwani Mwashilindi walipohudhuria semina ya ujasiriamali tulioiandaa
picha zinazotengenezwa na sisi katika ubora wake
Kazi yenu ni njema sana vijana, tupo pamoja na tutapeana ushauri wa kitaalam juu ya namna ya ku expand your horizons ili mfike mbali zaidi
ReplyDeletetunakushukuru sana kaka utusamehe tulichelewa kuiona ila ahsante sana kwa ushauri wako kaka yetu, tunapenda ushauri wako
Delete