pia blog yako ya www,jisikilizee.blogspot.com tuliweza kushiriki katika maadhimisho hayo ambayo yalifanika katika viwanja vya Rwanda nzovwe jijini Mbeya
karibu jionee matukio katika picha
Vijana wa YWCA MBEYA wakiwa wamebeba ujumbe wa siku ya mtoto wa afrika
Kaimu katibu wa YWCA MBEYA akipewa zawadi kwa kuwakilisha tawi vyema
Watoto wanahaki ya kulindwa na kila aina ya hatari inayoweza kuwakabili
MASHIRIKA MBALIMBALI YALIONESHA SHUGHULI ZAO
KARIBU SANA YWCA MBEYA KWA MAWASILIANO ZAIDI ywcambeya@yahoo.com
au simu piga +255715850113




0 comments:
Post a Comment