WAJIBIKA PROJECT MBEYA ni Mradi unaosimamiwa na YOUNG WOMENS CHRISTIAN ASSOCIATION TANZANIA(YWCA TANZANIA) na kwa hapa mbeya unasimamiwa na na YWCA MBEYA , ambao ofisi zao zipo eneo la mabatini.
Siku ya juzi kulikuwa na ziara pamoja na wanafunzi wa shule ya NZONDAHAKI ambapo ziara hiyo ilikuwa na lengo la kuwafundishana kujifunza wanafunzi wa club ya mazingira njia bora ya upandaji mbogamboga
Baadhi ya wanaclub wa mazingira 30 pamoja na mwalimu wao waliweza kutembelea eneo mahalufu la upandaji mboga jiji mbeya linaofahamika kwa jina la ILOLO na kukutana na wakulima mbalimbali amabao walitoa elimu kwa vijana
hivi ndivyo ziara ilivyokuwa ya CLUB YA MAZINGIRA YA NZONDAHAKI ILIYO CHINI YA WAJIBIKA PROJECT MBEYA
MAWASILIANO KUFANYA KAZI PAMOJA NA KUSHIRIKIANA PIGA HII 071850113
wanaclub ya mazimgira wakiwa eneo la kilimo cha mbogamboga
MUNA TOYS & STATIONERY
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment