.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Saturday, December 27, 2014

HIVI NDIVYO VIJANA WA TULIVYOFUNGA MWAKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

Katika kufunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 taasisi ya YWCA MBEYA kupitia WAJIBIKA PROJECT MBEYA na vijana wa mkoa wa Mbeya kiujumla huku tukishirikiana na Redio HIGHLANDS FM,leo tumeungana katika matukio makuu matatu

1.Kufanya usafi wa mazingira katika hospitali
2.kutoa vifaa vya usafi
3.Ugawaji wa vifaa kwa wagonjwa katika hospitali ya rufaa Mbeya
Tunawashukuruni sana wote ambao tumeshirikiana kuumaliza mwaka 2014, kwa namna moja au nyingine kwa kuweza kufanikisha tukio zima hili la kuwafariji na kuwathamini wenye mahitaji

                            Eneo la kutupa taka baada ya shughuri ya ufagiaji
              Muuguzi wa zamu akitoa maelekezo kwa vijana tuliofika eneo la hospitali
              Viongozi kutoka HIGHLANDS FM wakishiliki kwa pamoja usafi hospitalini




                Project officer wa YWCA WAJIBIKA PROJECT MBEYA
               


     KARIBU SANA KUSHIRIKIANA NASI KWA SIMU 0764761900 au 0715850113

1 comments:

  1. EGY,Hongera nyingi sana kwa kuonyesha mfano. Kwamba vijana mnaweza kuonyesha njia. Nawaasa tumieni KISWAHILI ZAIDI kujitangaza. KISWAHILI, KISAFWA, KINYAKYUSA na sehemu ya UTAMADUNI. Wageni wangependa kuongea KISWAHILI zaidi. Lugha ya kigeni ni kujisalimisha kwa utamaduni wa WATU.
    Nimekuwa huko miaka ya 1977 -1980. Kama kijana tulikuwa na "Excursion Group" by then "Uyole Agricultural Centre" . Tulitembelea Rungwe Mountain, maporomoko ya sehemu za Inyala, Kitulo na Ziwa Nyasa. Japo umri umepanda kidogo napenda kutembelea EGY Mbeya kwa wiki au so. Inaweza kunigharimu kiasi gani kama mtalii wa ndani?
    RA

    ReplyDelete

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085