.

.

MUNA TOYS & STATIONERY

MUNA TOYS & STATIONERY

Saturday, November 1, 2014

YWCA WAJIBIKA MBEYA, WALETA FURSA YA KUJIAJIRI KWA KUTOA MAFUNZO KWA VIKUNDI

YWCA WAJIBIKA MBEYA, ni harakati za vijana katika uwajibikaji kiuchumi na mazingira ili kuleta maendeleo endelevu, huu ni mradi unao simamiwa na YWCA TANZANIA chini ya ufadhili wa Y GLOBAL KFUK KFUM NORWAY ambao umelenga sana kuyabadilisha maisha ya jamii ili kujenge uelewa wa mambo mbalimbali,

 katika siku hizi mbili imeendesha mafunzo ya ujasiriamali katika vikundi kumi na tano vya jijini Mbeya na nje kidogo ya jiji la Mbeya, ambapo wanakikundi wamejifunza namna ya kutengeneza TIE-DYE, MISHUMAA, KEKI, MAFUTA, SHAMPOO,SABUNI,

Vikundi ambavyo vilivyopata mafunzo ni pamoja na MLIMANI YOUTH GROUP, YWCA, HEKIMA VICOBA, UPENDO IYUNGA, TUPENDANE IYUNGA, LUKONDO, NSEKELELE, IJOMBE, IDUDA,LUNJI,MAVUNO,LEA MAMA, AMKA MWANAMKE,

mradi huu kwa Mbeya unasimamiwa na DEBORA NJULUMI, chini ya YWCA MBEYA,

Wote kwa pamoja wamepata mafunzo kupitia WAJIBIKA PROJECT MBEYA
ukihitaji kujua zaidi wasiliana kwa namba hii 0764761900, kupatiwa muhusika zaidi

                                               baadhi ya washiriki wa mafunzo


























         mjasiriamali kutoka kikundi cha MLIMANI YOUTH GROUP  akichangia mada























                                        darasa la mafunzo ya ujairiamali jijini Mbeya























   Mwalimu kutoka YWCA Dar es salaam, akielekeza namna ya kutengeneza sabuni ya maji























             Salome , mama mjasiliamali kutokea kikundi cha AMKA MWANAMKE























                               Michael Bundala, kiongozi wa kikundi cha MISHEMI























                             mafunzo kwa vitendo namna ya kutengeneza TIE & DYRE

























               Kila mshiriki akinuia kujifunza namna ya utengenezaji wa bidhaaa

























                    utengenezaji wa VIKOI  na maandalizi ya KEKI yakifanywa na wanakikundi























                           kazi waliyoifanya kwa mikono yao washiriki wa mafunzo haya























katibu pamoja na project officer wakiwa wameshikiria keki iliyotengenezwa na wanamafunzo

                  HONGERENI  YWCA TANZANIA, HONGERENI YWCA MBEYA

0 comments:

Post a Comment

 

Bongo Blogs - Blog ya Taifa

COPYRIGHT © Egy business solution DESIGN BY NANG JET 0764504595,0672804085